SIKU TANO ZA MFUNGO

SIKU 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA (DAY 01) “Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.”‭‭1 Wakorintho‬ ‭13‬:‭10‬ ‭NEN‬‬O Prayer points 1. Bwana Yesu asanta kwa neema iliyo niwezesha kufika na itakayo niwezesha kuumaliza mwezi huu wa sita(nusu mwaka) 2. Neema Yako ikalete ukamilifu kwenye ahadi zote zilizoko kwenye huu mwezi 3. Mungu naomba uvilinde ulivyo…

Read More