Category: Door of Wonders
A DOOR OF WONDERS
Ni kwa mara nyingine tena tumepata neema ya kuwa na ibada hii.Tutakuwa na ibada hii ya A DOOR OF WONDERS Jumamosi ya tarehe 02/03/2024 kuanzia saa nane kamili mchana hapahapa kanisani Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA na itaongozwa na Watumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando pamoja na Pastor John…
A Door Of Wonders
Isaya 60:11Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;Hayatafungwa mchana wala usiku;Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao. Ili chochote kiweze kutoka kwenye ulimwengu wa roho kuja kwenye ulimwengu wa mwili lazima kuna lango kipite, adui anachofanya ni kuweka vizuizi kwenye lango ili visiweze kukufikia. Kuna vitu vingi ambavyo umemuomba Mungu na…
