HARRIS AMSHINIKIZA NETANYAHU KUMALIZA MGOGORO WA GAZA, AKISEMA ‘NI WAKATI MWAFAKA SASA’
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris – ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha…
Isaya 60:11Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;Hayatafungwa mchana wala usiku;Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao. Ili chochote kiweze kutoka kwenye ulimwengu wa roho kuja kwenye ulimwengu wa mwili lazima kuna lango kipite, adui anachofanya ni kuweka vizuizi kwenye lango ili visiweze kukufikia. Kuna vitu vingi ambavyo umemuomba Mungu na…
SIKU 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA Isaya 55:11 Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya neema hii aliyotupa kwa mara nyingine tena ya kuwa na mfungo huu, ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa ajili ya mwezi huu na kujikabidhi kwake kwa ajili ya mwezi ujao. Tutakuwa na prayer points zifuatazo; Jioni kuanzia saa kumi na moja…
Mwanamke… Ile siku uliyokuwa ukiisubiria kwa hamu imefika,!Leo ndio ile siku ambayo tutakuwa na ibada yetu nzuri sana.Umechoka kukaa eneo moja bila kupiga hatua?..basi hii ibada ni maalum kabisa kwa ajili yako. Itaanza saa tisa kamili mchana, hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Mtumishi wa Mungu Minister Sia Kyando ana…
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris – ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba – amefanya kile alichokiita “mazungumzo ya wazi na yenye kujenga” na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Akiwa na sauti kali zaidi kuliko Rais Joe Biden, Bi Harris alisema aliweka wazi “wasiwasi wake…
Mkuu wa Huduma ya Siri ya Marekani Kim Cheatle Ajiuzulu Kufuatia Jaribio la Mauaji la Rais wa Zamani Donald Trump Mkurugenzi wa Huduma ya Siri ya Marekani, Kim Cheatle, amejiuzulu kufuatia jaribio la mauaji ya Rais wa zamani Donald Trump. Alikabiliwa na wito wa kujiuzulu kutoka kwa Wademokrat na Warepublikan baada ya kikao cha kamati…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo yao na kuhakikisha inakamilishwa ili ianze kutoa huduma kwa wananchi. “Kwenye usimamizi wa miradi, hakikisheni mnazo taarifa za utekelezaji; hii ni fursa yenu ya kujua miradi yote tangu mwaka 2021, angalieni miradi gani imepata fedha, na mjiridhishe kama imekamilika….
Zaburi 150:4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi. Kila kiungo cha mwili wako ni cha muhimu katika kumwabudu na kumsifu Mungu Zab 150:6 Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. TUNA KILA SABABU YA KUMSIFU, KUMTUKUZA NA KUCHEZA; KULISIFU JINA LAKE BWANA YESU. JUMAPILI HII YA TAREHE 14/07/2024, “HUKU TUKIIMBA NA…
SIKU 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA (DAY 01) “Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka.”1 Wakorintho 13:10 NENO Prayer points 1. Bwana Yesu asanta kwa neema iliyo niwezesha kufika na itakayo niwezesha kuumaliza mwezi huu wa sita(nusu mwaka) 2. Neema Yako ikalete ukamilifu kwenye ahadi zote zilizoko kwenye huu mwezi 3. Mungu naomba uvilinde ulivyo…