Rais wa Kenya ,Mh.William Ruto atoa tamko

Rais wa Kenya ,Mh.William Ruto atoa tamko kuelekea mandamano yanayo Endelea nchini humo kutoka upande wa wapinzani.
na Police wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wandamanaji wa upinzani waliokusanyika nje ya ofisi za serikali katika mji mkuu wa nairobi kwajili ya mandamano kwakile Wanacho DAI Wana pinga mfumuko wa bei.

“Adamson Bongei” amesema jumamosi jioni kuamkia jumapili walipokea maombi yakufanya mandamano ingawa kiutaratibu notice inatakiwa itolewe siku tatu kabla ya mikutano ya hadhara,
Amesema kwa usalama wa umaa polisi haikutoa kibali .
Kiongozi wa upinzani Raila odinga jana aliwataka wakenya kujitokeza kwa wingi na kuonyesha kutofurahishwa na kile kinachoendelea nchini humo.

Rais william Ruto amesema kwamba hatokubali “kutokuijali nchi” Baada…