Year: 2023
Somo: Revolution (Mapinduzi)
Ni Jumapili ya mapinduzi!Ni Jumapili ya kubadilisha kila matokeo ya adui na kumiliki baraka halisi za Mungu, ni Jumapili ya kuondoa kila mapooza kwenye uchumi wako. Kesho kuanzia saa tatu kamili asubuhi tutakuwa na ibada nzuri sana hapa Kanisani Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA, utapata nafasi ya kujifunza Neno…
Semina ya Neno la Mungu Mwanza
Mwanza Mwanza, upo tayari?? Ni siku tatu tu zimebaki kufikia hii seminar ambayo imebeba majibu ya maswali mengi uliyokuwa ukijiuliza.Tutaenda kujifunza somo zuri sana linaloitwa “Madhabahu zinavyoshikilia uchumi” na kisha tutakuwa na maombezi.Hii sio ya kukosa kabisa, waalike na wengine waambie kwamba katika siku hizi tatu, yaani tarehe 29 hadi 31 mwezi huu tutakutana pale…
