ULEGA Ateuliwa uwaziri
Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Abdala Hamis Ulega kua waziri wa Mifugo na Uvuvi.
Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Abdala Hamis Ulega kua waziri wa Mifugo na Uvuvi.
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza maamuzi ya awali baada ya marejeo ya kesi ya kimkataba ya Feisal Salum dhidi ya waajiri wake Yanga ambapo imetupilia mbali shauri la upande wa Feisal.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo. Nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na Pauline Philopo Gekul ambae amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa sasa. @roctvtz
Fiston kalala mayele anawatanguliza wananchi @yangasc Katika kipindi Cha kwanza wakiwatangulia @asrealbamako_official kutoka guinea ambao wako nyuma , Je yanga wata endeleza ubabe wao Katika uwanja wa mkapa au BAMAKO watajitetea??? toa utabiri wako Kwa dakika 45 zilizo baki.
Kuna exclusive nzito kutoka kwake ,macho kwenye TV yako channel namba 451 Startimes antena . Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea baada ya kuwafunga goli Moja Kwa sifuri team ya @vipersscug huko nchini Uganda. Mechi hii Niya kwanza Kwa mnyama Simba kupata matokeo baada ya kupoteza mechimbili mfululizo dhidi ya Horoya huko nchini Guinea na Raja chasabranca mechi iliyo…