TMA WATANGAZA TAHADHARI MVUA ZA ELNINO NCHINI.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa msimu wa mvua za Vuli (Oktoba – Desemba) 2026, ikitoa angalizo la msimu huo kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa iliyotokana na joto la bahari kuwa Juu ya Wastani katika Bahari ya Pasifiki, hali itakayochagiza ongezeko la Mvua…

Read More

WITO WATOLEWA SEKTA YA ELIMU KUJENGA UBUNIFU NA UJUZI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO.

TANGA, Agosti 17, 2026 Umuhimu wa kuimarisha ufundishaji wa ubunifu katika hatua za awali za elimu umejadiliwa katika kongamano linalofanyika Jijini Tanga, huku ikisisitizwa kuwa ubunifu unaweza kujengwa kupitia mchakato wa kujifunza, kuuliza maswali, kujaribu na kutafuta suluhisho la changamoto. Akizungumza katika kongamano hilo linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Usagara, Dkt. Calvin Swai amesema…

Read More