THANKSGIVING SUNDAY

Zaburi 150:4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi. Kila kiungo cha mwili wako ni cha muhimu katika kumwabudu na kumsifu Mungu Zab‬ ‭150‬:‭6‬ Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. TUNA KILA SABABU YA KUMSIFU, KUMTUKUZA NA KUCHEZA; KULISIFU JINA LAKE BWANA YESU. JUMAPILI HII YA TAREHE 14/07/2024, “HUKU TUKIIMBA NA…

Read More