TMA WATANGAZA TAHADHARI MVUA ZA ELNINO NCHINI.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa msimu wa mvua za…
Isaya 60:11Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;Hayatafungwa mchana wala usiku;Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao. Ili chochote kiweze kutoka kwenye ulimwengu wa roho kuja kwenye ulimwengu wa mwili lazima kuna lango kipite, adui anachofanya ni kuweka vizuizi kwenye lango ili visiweze kukufikia. Kuna vitu vingi ambavyo umemuomba Mungu na…
SIKU 5 ZA KUFUNGA NA KUOMBA Isaya 55:11 Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya neema hii aliyotupa kwa mara nyingine tena ya kuwa na mfungo huu, ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa ajili ya mwezi huu na kujikabidhi kwake kwa ajili ya mwezi ujao. Tutakuwa na prayer points zifuatazo; Jioni kuanzia saa kumi na moja…
Mwanamke… Ile siku uliyokuwa ukiisubiria kwa hamu imefika,!Leo ndio ile siku ambayo tutakuwa na ibada yetu nzuri sana.Umechoka kukaa eneo moja bila kupiga hatua?..basi hii ibada ni maalum kabisa kwa ajili yako. Itaanza saa tisa kamili mchana, hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Mtumishi wa Mungu Minister Sia Kyando ana…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa msimu wa mvua za Vuli (Oktoba – Desemba) 2026, ikitoa angalizo la msimu huo kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa iliyotokana na joto la bahari kuwa Juu ya Wastani katika Bahari ya Pasifiki, hali itakayochagiza ongezeko la Mvua…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hasan amempokea na kufanya mazungumzo ya ushirikiano na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC ) Mhe.Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuwasili Ikulu ndogo ya Zanzibar, tarehe 18 Agosti, 2026, katika hatua za kuimarisha biashara, usalama, uwekezaji na matumizi ya rasilimali kwa lengo la…
TANGA, Agosti 17, 2026 Umuhimu wa kuimarisha ufundishaji wa ubunifu katika hatua za awali za elimu umejadiliwa katika kongamano linalofanyika Jijini Tanga, huku ikisisitizwa kuwa ubunifu unaweza kujengwa kupitia mchakato wa kujifunza, kuuliza maswali, kujaribu na kutafuta suluhisho la changamoto. Akizungumza katika kongamano hilo linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Usagara, Dkt. Calvin Swai amesema…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemtaka Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy, kutumia nafasi yake kuimarisha diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na Malaysia, kwa kuzingatia fursa za uwekezaji, biashara na utalii. Rais Dkt. Mwinyi ametoa maelekezo hayo leo, Agosti 17, 2026, alipokutana…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imeufunga kwa muda Uwanja wa New Amaan Complex kwa ajili ya kurekebisha eneo la kuchezea kwa kupanda nyasi mpya. Katika eneo la Uwanja wa New Amaan Complex, kuna viwanja vitatu ambapo viwili hutumika kwa ajili ya mazoezi, na mkubwa unaotumika kwa mechi za mashindano mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na…