MCHAKATO WA KUWA NYOTA
Kutana na Miss Cetha, Mmiliki wa shatafrika beauty store mwanamke ambaye mwangaza wake umeleta mapinduzi katika tasnia ya urembo Tanzania. Msichana wa kitanzania mwenye ndoto kubwa, alianza safari yake katika ulimwengu wa Urembo bila kitu zaidi ya ari na azma. Lakini, ni nini kinachomfanya awe nyota? Ni upeo wake usio ishiwa ubunifu usio na kifani,…
