Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea
Kuna exclusive nzito kutoka kwake ,macho kwenye TV yako channel namba 451 Startimes antena . Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea baada ya kuwafunga goli Moja Kwa sifuri team ya @vipersscug huko nchini Uganda. Mechi hii Niya kwanza Kwa mnyama Simba kupata matokeo baada ya kupoteza mechimbili mfululizo dhidi ya Horoya huko nchini Guinea na Raja chasabranca mechi iliyo…
