ROC Worshippers Live Recording (Upgrading)

Baada ya kufanya vizuri sana kwenye wimbo wa “Nasogea kwako”, Mungu amewapa tena neema na kibali kingine @rocworshipperz Cha kufanya Live Recording inayoenda kwa jina la UPGRADING.Ni siku ambayo tutaenda kumsifu sana Mungu na kumuabudu maana matendo yake ni makuu mno.Ni siku ambayo utaenda kukutana na breakthrough(upenyo) yako, uponyaji wako, na mengine meeeengi maana Yeye…

Read More

Sunday Service

Bwana Yesu Asifiwe! Tunapenda kukukaribisha sana katika ibada hii itakayofanyika siku ya kesho (Jumapili) kuanzia saa tatu kamili asubuhi hapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Tutakuwa na muendelezo wa somo linaloitwa KUPAMBANUA ROHO, na kesho tutaangalia kipengele cha Jini mahaba(Spiritual husband/wife). Hili limekuwa changamoto kubwa sana kwa watu maana wahanga…

Read More

Ibada ya Wanawake

Mwanamke… Ile siku uliyokuwa ukiisubiria kwa hamu imefika,!Leo ndio ile siku ambayo tutakuwa na ibada yetu nzuri sana.Umechoka kukaa eneo moja bila kupiga hatua?..basi hii ibada ni maalum kabisa kwa ajili yako. Itaanza saa tisa kamili mchana, hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Mtumishi wa Mungu Minister Sia Kyando ana…

Read More