Sunday Service

Bwana Yesu Asifiwe!

Tunapenda kukukaribisha sana katika ibada hii itakayofanyika siku ya kesho (Jumapili) kuanzia saa tatu kamili asubuhi hapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Tutakuwa na muendelezo wa somo linaloitwa KUPAMBANUA ROHO, na kesho tutaangalia kipengele cha Jini mahaba(Spiritual husband/wife). Hili limekuwa changamoto kubwa sana kwa watu maana wahanga wa jambo hili ni wengi, Mungu ametuma Neno hili ili akuweke huru kabisa.

Vilevile tutakuwa mubashara ???? kabisa kupitia ukurasa wetu wa YouTube wenye jina REALITY OF CHRIST CHURCH, hata wewe uliye mbali Mungu atakugusa pia.
Ibada itaongozwa na Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando.
Karibu sana na Mungu akubariki.

@realityofchrist_
@sunbella_kyando
@pastor_john_sembatwa
@siakyando
@rocmedia_
@roctvtz

THE_YEAR_OF_FRUITFULNESS_AND_MULTIPLICATION