Rais Samia atoa pungonzi kwa Askofu Rugambwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan Samia_Suluhu_Hassan amempongeza Askofu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora Protase Rugambwa kwa kuteuliwa Kuwa Kardinali. Kupitia Kurasa zake za Mitandao ya kijamii, ameandika Pongezi zake kwa Askofu Rugambwa akimtakia kheri ya kuteuliwa kwake.
