Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea

Kuna exclusive nzito kutoka kwake ,macho kwenye TV yako channel namba 451 Startimes antena .

Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea baada ya kuwafunga goli Moja Kwa sifuri team ya @vipersscug huko nchini Uganda.

Mechi hii Niya kwanza Kwa mnyama Simba kupata matokeo baada ya kupoteza mechimbili mfululizo dhidi ya Horoya huko nchini Guinea na Raja chasabranca mechi iliyo pigwa Katika uwanja wa benjamini mkapa maarufu kama lupaso .

Je mnyama atatoboa kwenda robo fainali??? Weka maonit yako hapo chini twende sawa.