Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo. Nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na Pauline Philopo Gekul ambae amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa sasa. @roctvtz
Mwana FA Aula
