Ni Jumapili ya mapinduzi!
Ni Jumapili ya kubadilisha kila matokeo ya adui na kumiliki baraka halisi za Mungu, ni Jumapili ya kuondoa kila mapooza kwenye uchumi wako.
Kesho kuanzia saa tatu kamili asubuhi tutakuwa na ibada nzuri sana hapa Kanisani Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA, utapata nafasi ya kujifunza Neno la Mungu lakini pia kutakuwa na maombezi.
Ni majira ya wewe kuwa huru kabisa katika uchumi wako maana hayo ndio mapenzi ya Mungu kwenye maisha yako, adui lazima aachie kila cha kwako anachoshikilia.
Mualike yule na yule waambie mahali pa kukutana kesho ni ROC CHURCH.
Mungu ana haja na wewe.
Habari njema kwa wewe uliye mbali na Dar es Salaam, tutakuwa mubashara kabisa kupitia ukurasa wetu wa YouTube wenye jina REALITY OF CHRIST CHURCH na kupitia ROC TV, King’amuzi cha Startimes Antenna, channel number 451.
Usikose!
@realityofchrist_
@sunbella_kyando
@pastor_john_sembatwa
@siakyando
@roctvtz
