Pesa bado zipo nyie fungeni tu magoli..

Pongezi za Muheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu hassani kwa @simbasctanzania na @yangascLeo hii Mh Samia suluhu Hassan, katika sherehe za maadhimisho ya miezi miwili ya uongozi wake wa awamu ya sita, ameongea na kusema kuhusu million 5, kwaajili ya kununua magoli ya Simba na yanga, kwa Kila goli Moja bado zipoAmeyasema hayo Leo jijini dar es…

Read More

Rais wa Kenya ,Mh.William Ruto atoa tamko

Rais wa Kenya ,Mh.William Ruto atoa tamko kuelekea mandamano yanayo Endelea nchini humo kutoka upande wa wapinzani.na Police wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wandamanaji wa upinzani waliokusanyika nje ya ofisi za serikali katika mji mkuu wa nairobi kwajili ya mandamano kwakile Wanacho DAI Wana pinga mfumuko wa bei. “Adamson Bongei” amesema jumamosi jioni kuamkia jumapili…

Read More