Mwana FA Aula

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo. Nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na Pauline Philopo Gekul ambae amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa sasa. @roctvtz

Read More

Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea

Kuna exclusive nzito kutoka kwake ,macho kwenye TV yako channel namba 451 Startimes antena . Wekundu wa msimbazi @simbasctanzania wameibuka videdea baada ya kuwafunga goli Moja Kwa sifuri team ya @vipersscug huko nchini Uganda. Mechi hii Niya kwanza Kwa mnyama Simba kupata matokeo baada ya kupoteza mechimbili mfululizo dhidi ya Horoya huko nchini Guinea na Raja chasabranca mechi iliyo…

Read More