Isaya 60:11
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;
Hayatafungwa mchana wala usiku;
Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,
Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.
Ili chochote kiweze kutoka kwenye ulimwengu wa roho kuja kwenye ulimwengu wa mwili lazima kuna lango kipite, adui anachofanya ni kuweka vizuizi kwenye lango ili visiweze kukufikia.
Kuna vitu vingi ambavyo umemuomba Mungu na ameshavijibu ila adui amevizuia langoni, Jumamosi ya tarehe 03/02/2024 kuanzia saa nane kamili mchana tutakuwa na ibada ya A DOOR OF WONDERS, na kila ambacho kimezuiwa langoni kisikufikie utaenda kukipokea.
Ni ibada ambayo imekuwa na shuhuda nyingi sana, na tunajua kabisa Mungu anaenda kukupa ushuhuda mwingine tena.
Ni hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA na pia itarushwa mubashara???? kabisa kwenye ukurasa wetu wa YouTube https://www.youtube.com/@realityofchristchurch na kupitia ROC TV, King’amuzi cha Startimes Antenna, channel number 451.
Usikose
