THANKSGIVING SUNDAY

Zaburi 150:4 Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi.

Kila kiungo cha mwili wako ni cha muhimu katika kumwabudu na kumsifu Mungu

Zab‬ ‭150‬:‭6‬ Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya.

TUNA KILA SABABU YA KUMSIFU, KUMTUKUZA NA KUCHEZA; KULISIFU JINA LAKE BWANA YESU.

JUMAPILI HII YA TAREHE 14/07/2024, “HUKU TUKIIMBA NA KUCHEZA “BWANA AMENITENDEA” KUTOKA @rocworshipperz

SAA: 3 Kamili asubuhi
MAHALİ: The Reality Of Christ Church
TAREHE 14/07/2024

Amekuwa mwema sana kwetu, karibu tumsifu Mungu pamoja.

Ibada itaanza saa 3 kamili asubuhi na tutakuwa live kupitia ukurasa wa Kanisa wa YouTube wenye jina la REALITY OF CHRIST CHURCH na ROC TV chaneli namba 451 king’amuzi cha startimes antenna.