YANGA YAZINDUA WIKI YA MWANANCHI GEITA, YATANGAZA SAFARI YA MSIMU MPYA
Klabu ya Young Africans SC leo imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Mwananchi 2026 katika eneo la Katoro, mkoani Geita, ikiwa ni mwanzo wa maandalizi ya kuelekea msimu mpya wa mashindano wa 2026/27. Uzinduzi huo umeambatana na safari ya timu kuelekea Ushirombo kwa kambi fupi ya mazoezi kabla ya kurejea Dar es Salaam kwa kilele…
