BEI ZA MAFUTA ZASHUKA MWEZI AGOSTI KUPUNGUZA MZIGO WA GHARAMA KWA WANANCHI.
DAR ES SALAAM , Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Agosti 5, 2026, imetangaza kupungua kwa bei za nishati ya mafuta nchini kwa bidhaa zinazopitia Bandari ya Dar es Salaam, kutokana na mabadiliko chanya ya bei katika soko la dunia ambapo hatua hiyo imeshuhudia bei za mafuta zikishuka hadi Sh3,898…
