WATANO WAOKOLEWA BAADA YA MAPOROMOKO UFILIPINO

Watu watano wameokolewa, huku wengine saba wakiendelea kutafutwa baada ya maporomoko makubwa ya udongo kuzikumba nyumba kadhaa katika mji wa Baguio, kaskazini mwa Ufilipino. Maporomoko hayo yalitokea Jumapili katika eneo la milimani la Baguio, baada ya mvua kubwa kuendelea kunyesha, hali iliyosababisha udongo kulegea na kuteremka kwa nguvu, na hatimaye kuzikumba nyumba zilizokuwa katika eneo…

Read More