Category: Sports
Kocha Nabi rasmi kutambulishwa AS Far Rabat ya Morocco
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Club ya Yangasc NABI, Usiku wa kuamkia Leo ametangazwa Rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Club ya As FAR Rabat ya Nchini Morocco. Amechukua kandarasi hii mara baada ya kufikia ukomo na iliyokuwa Club yake. Hii imemaliza sintofahamu iliyokuwa imetokea, watu wengi walikuwa na maswali juu ya Kocha huyu aliyeipa mafanikio timu ya Yanga….
Pesa bado zipo nyie fungeni tu magoli..
Pongezi za Muheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu hassani kwa @simbasctanzania na @yangascLeo hii Mh Samia suluhu Hassan, katika sherehe za maadhimisho ya miezi miwili ya uongozi wake wa awamu ya sita, ameongea na kusema kuhusu million 5, kwaajili ya kununua magoli ya Simba na yanga, kwa Kila goli Moja bado zipoAmeyasema hayo Leo jijini dar es…
Sakata la Feisal, TFF waongea
Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limetangaza maamuzi ya awali baada ya marejeo ya kesi ya kimkataba ya Feisal Salum dhidi ya waajiri wake Yanga ambapo imetupilia mbali shauri la upande wa Feisal.
Fiston kalala mayele anawatanguliza wananchi @yangasc
Fiston kalala mayele anawatanguliza wananchi @yangasc Katika kipindi Cha kwanza wakiwatangulia @asrealbamako_official kutoka guinea ambao wako nyuma , Je yanga wata endeleza ubabe wao Katika uwanja wa mkapa au BAMAKO watajitetea??? toa utabiri wako Kwa dakika 45 zilizo baki.
- 1
- 2
