Mwanamke…
Ile siku uliyokuwa ukiisubiria kwa hamu imefika,!
Leo ndio ile siku ambayo tutakuwa na ibada yetu nzuri sana.
Umechoka kukaa eneo moja bila kupiga hatua?..basi hii ibada ni maalum kabisa kwa ajili yako.
Itaanza saa tisa kamili mchana, hapahapa Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Mtumishi wa Mungu Minister Sia Kyando ana Neno kutoka kwa Mungu kwa ajili yako, usikose!
Kwa wewe uliye mbali utaweza kuungana nasi kupitia ukurasa wetu wa YouTube wenye jina REALITY OF CHRIST CHURCH na kupitia ROC TV, King’amuzi cha Startimes Antenna, Channel number 451… tutakuwa mubashara ???? kabisa.
Karibu sana.
@realityofchrist_
@siakyando
@rocmedia_
@roctvtz
