Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia Miradi ya Maendeleo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo yao na kuhakikisha inakamilishwa ili ianze kutoa huduma kwa wananchi. “Kwenye usimamizi wa miradi, hakikisheni mnazo taarifa za utekelezaji; hii ni fursa yenu ya kujua miradi yote tangu mwaka 2021, angalieni miradi gani imepata fedha, na mjiridhishe kama imekamilika….

Read More