TANZANIA NA DRC KUJIKITA KATIKA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hasan amempokea na kufanya mazungumzo ya ushirikiano na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC ) Mhe.Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuwasili Ikulu ndogo ya Zanzibar, tarehe 18 Agosti, 2026, katika hatua za kuimarisha biashara, usalama, uwekezaji na matumizi ya rasilimali kwa lengo la…
