Category: Breaking News
Askofu Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali
Kiongozi Mkuu wa Makanisa ya Roman Cathoric Duniani Papa Francisco Ameteua Makardinali wapya 21 kati yao Makardinali hao walioteuliwa Mmoja ni Kutoka hapa Nchini Tanzania, Ambaye ni Askofu mwandamizi wa Jimbo kuu la Tabora, Askofu Protase Rugambwa. Uteuzi huu umefanyika huko Vatcan makao makuu ya Kanisa la RC ukihusisha makardinali wengine kutoka nchi mbali mbali…
