Kocha Nabi rasmi kutambulishwa AS Far Rabat ya Morocco
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Club ya Yangasc NABI, Usiku wa kuamkia Leo ametangazwa Rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Club ya As FAR Rabat ya Nchini Morocco. Amechukua kandarasi hii mara baada ya kufikia ukomo na iliyokuwa Club yake. Hii imemaliza sintofahamu iliyokuwa imetokea, watu wengi walikuwa na maswali juu ya Kocha huyu aliyeipa mafanikio timu ya Yanga….
