Day: July 20, 2023
48 Wajeruhiwa vibaya Johannesburg
Mlipuko unaodhaniwa kuwa niwa Gesi ya Ardhini Afrika kusini, katika Mji wa Johannesburg Mtaa wa Bree umesababisha kifo cha Mtu mmoja na majeruhi 48 katika mlipuko mkubwa, mlipuko huo umetokea Jana July 19 majira ya Jioni. Msemaji wa Polisi wa Eneo hilo CPFs Alexandra amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuomba watu wachukue tahadhari ikiwemo…
Rais Samia atoa pungonzi kwa Askofu Rugambwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan Samia_Suluhu_Hassan amempongeza Askofu Mwandamizi wa Jimbo Kuu la Tabora Protase Rugambwa kwa kuteuliwa Kuwa Kardinali. Kupitia Kurasa zake za Mitandao ya kijamii, ameandika Pongezi zake kwa Askofu Rugambwa akimtakia kheri ya kuteuliwa kwake.
Kocha Nabi rasmi kutambulishwa AS Far Rabat ya Morocco
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Club ya Yangasc NABI, Usiku wa kuamkia Leo ametangazwa Rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Club ya As FAR Rabat ya Nchini Morocco. Amechukua kandarasi hii mara baada ya kufikia ukomo na iliyokuwa Club yake. Hii imemaliza sintofahamu iliyokuwa imetokea, watu wengi walikuwa na maswali juu ya Kocha huyu aliyeipa mafanikio timu ya Yanga….
Askofu Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali
Kiongozi Mkuu wa Makanisa ya Roman Cathoric Duniani Papa Francisco Ameteua Makardinali wapya 21 kati yao Makardinali hao walioteuliwa Mmoja ni Kutoka hapa Nchini Tanzania, Ambaye ni Askofu mwandamizi wa Jimbo kuu la Tabora, Askofu Protase Rugambwa. Uteuzi huu umefanyika huko Vatcan makao makuu ya Kanisa la RC ukihusisha makardinali wengine kutoka nchi mbali mbali…
