Baada ya kufanya vizuri sana kwenye wimbo wa “Nasogea kwako”, Mungu amewapa tena neema na kibali kingine @rocworshipperz Cha kufanya Live Recording inayoenda kwa jina la UPGRADING.
Ni siku ambayo tutaenda kumsifu sana Mungu na kumuabudu maana matendo yake ni makuu mno.
Ni siku ambayo utaenda kukutana na breakthrough(upenyo) yako, uponyaji wako, na mengine meeeengi maana Yeye huketi kwenye sifa na ndani ya uwepo wake hufanya lolote limpendezalo!
Ni siku ya tarehe 06/10/2023 kuanzia saa kumi na mbili jioni kanisani Reality of Christ, Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.
Hakuna kiingilio kabisa❌
Karibu sana na Mungu akubariki.
